Inaelekea Uhuru Kenyatta na wapambe wake wamejipanga kufanya lolote kushinda uchaguzi huu., Kenyatta kama Kenyattta hana matatizo hisipo kuwa wapambe wake ndio wanampa ushari ambao unaweza kuitumbukiza tena Kenya kwenye vurugu ambazo safari hii zinaweza kuwa mbaya zaidi.
Siku moja nilimsikia Kenyatta akiwajia juu Majaji na Mahakama kwa kutoa visingizio visivyo na mantiki tangu siku hiyo nikajua jamaa huyu kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia si bure - kama kweli kundi la Kenyatta limepanga tena kutumia vyombo vya Dola mfano: Jeshi la ulinzi, ntelijensia na Polisi kulazimisha ushindi basi Dunia itamuona na Kiongozi wa ajabu sana.