CNN are they misleading or skipping fact?! Question from Tanzania

Ni kodi na fine ! Fine haijawahi kumuacha mtu salama !
 
I 101% trusting the presidential commitee,First and foremost there were several attempts to bribe or intervene or obstruct the investigation most probably from the same company.
Jingalao iam not urging with u BUT hopefull we done our home work and we have a very water tight case here especially to our magic number 190b usd,I love ur mojo to be 101% behind our no 1
 
Hata sihitaji CNN kuniaminisha hiyo figure ni ya kupikwa. Yeyote mwenye akili zake timamu lazima atilie mashaka hiyo figure ya $190B.
Si tulikuwa tukisema nchi yetu inaibiwa? Walifanya uchunguzi na uchambuzi wameona ni $192 B, je wewe unatuambia ni kiasi gani kama si $192 B? Au unataka tuamini hypothesis kutoka kwa wanasiasa?
Kama kiasi siyo sahihi tutajua tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Trump kabla ya kushinda ulikuwa humkubali ila sasa kawa mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala la CNN sio bahati mbaya, tujiandae na negative press. Hao ni Barrick wenyewe wameamua kupiga fitna kupitia lobbying kwa vyombo vya habari, tusubirie muziki unakuja kwenye msaada/mkopo wa kibajeti.

Kama kweli tunaamini ktk ripoti za tume mbili za rais, basi vyombo vyetu vyote vya habari lazima vijiandae kwa ajili ya branding ya nchi lakini vilevile kulichimbua zaid sakata la madini na ukwepaji kodi na kuitangazia dunia. La sivyo tutaonekana hatupendi au hatuna mazingira mazuri ya uwekezaji na hivyo kuua ndoto ya viwanda.
 
Kwa hiyo hapa tumwamini nani? Serikali inayopambana kurejesha kilichoibwa ama hawa wanaotuibia kisha kuungana na wenzao kuupigia debe wizi.

Kama cnn wanafahamu viwango wanavyolipa kampuni zingine mbona hawajawahi kuripoti kuwa hawa nduli wanaiba hawalipi kodi?
Hawa wote lao moja kuchuma tu rasilimali za mtu mweusi. They real don't have any friend among us, they do have only own interests on our resources.

Tuendelee tu kusubiri habari zetu tuzipate kwa dw, bbc cnn etc. Umefika sasa wakati sasa wa vyombo vyetu vya habari kupewa nguvu na support ya kutosha ndani na nje ya mipaka ya nchi tusiwe tunasemewa tu kila kitu.


hata bibi alikuwa binti.
 
CNN wachinganishi na waongo sana. Ndiyo maan Trump alitengeneza WWE akionesha anaichapa ngumi CNN
 
Jingalao iam not urging with u BUT hopefull we done our home work and we have a very water tight case here especially to our magic number 190b usd,I love ur mojo to be 101% behind our no 1
It is a magic number ...which is true number
 
"She who ties a waist belt does not do so for nothing she is (intent)on playing".if somebody is getting involved with something,it is clear that person thinks its worthwhile.
 
My friend, don't blame CNN for the incompetence of your leaders. Even a ten year old knows the Makinika + tax bill is pure tosh!!

Blame ccm who even after 50 years if independence,cannot protect our resources. We shouldn't be discussing this in 2017! 1961, maybe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…