Kwa nini tuhangaike na hao watu ambao hawaendi na wakati ACACIA. Wao wanafikiri sisi tumelala kama enzi ya ukoloni. Waacheni watoe uongo wao na sisi tutoe uongo wetu tuone nani atashinda.
Eeeh, maelfu ya watanzania wamesambaa kila kona ya ulimwengu na wanajua lugha zote za kimataifa na wengi wamepata exposure ya maisha katika hizo nchi na wanajua jinsi ya kutumia media kama smart phones na kadhalika kwa nini tusumbuke na kuwa na wasi wasi? Kama wao wanapakaza uongo wao kwenye media na sisi tufanye hivyo hivyo. Kwa jinsi ninavyo wajua watanzania, hilo mbona sio tatizo? Kwa uongo na sisi tuko safi.
Chakufanya ni kukusanya pics na clips zote za BARIC'S na ACACIA'S migodini na sehemu zote kwenye activities zao na macontainers ambayo Rais Magufuli ameyazuia na kupost kwa kila mtanzania na marafiki zetu ambao wako katika nchi tofauti ulimwenguni kuonyesha landscape ya maeneo ya migodi ya ACACIA kabla ya machimbo na baada ya machimbo na mazingira ya wananchi wanao ishi katika maeneo yenye migodi hiyo tukionyesha maisha yao na coflicts zote ambazo zmesababishwa na kuwepo kwa ACACIA na clips zote za mazungunzo ya CEO wa BARICS na ACACIA na Rais na mikataba yote fake ambayo ACACIA imeweka na serikali ya Kikwete na kadhalika.
Watanzania inataliwa tujue kuwa hii ni vita ya media katika ya watanzania na ACACIAS. Ni vita ya maisha yetu. Ni vita ya Taifa letu na mali zetu. Tusikubali tena wazungu wstuchezee na pesa zao. Tusikubali kushindwa na kuwamchia hii vita Rais wetu peke yake. Watanzania wote lazima tushikamane kuwa kitu kimoja kutetea mali zetu kwa kuwa onyeshe wazungu wenzao uongo na unyama unaofanywa na wezi na wauaji hao wa ACACIA. Watakao tusaliti tuta jua jinsi ya ku deal nao baadae.
Wao wanatumia CNN na media zao nyingine zinazo wa Support na sisi tutatumia media za sozial net work kama Whatsapp, Instagram, Facebook, Tweeter, skype na kadhalika.
Kwa njia ya media tuta shinda tu. Badala ya sisi kujibishana hapa sisi wenyewe.
Sent using
Jamii Forums mobile app