PostGE2025 CNN, BBC, DW na vyombo vingine vya kimataifa vyaripoti barua ya Mange kwa Trump

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nimeona Larry Madowo nae kawaandikia meta
 
Attachments

  • v14044g50000d4oj8c7og65lj2resih0.mp4
    4.7 MB
Kwa taarifa yako tu huyo Trump aliyemwandikia barua naye akaunti zake zilishawahi kufungwa na hao Meta ikabidi aanzishe mtandao wake unaoitwa Truth.

Inaonesha ni kwa kiasi gani pamoja na kuandika JF kila mara hujipi muda wa kujiridhisha na kutafakari unachokiandika.
Trump pia hapendi vurugu kwenye nchi yake, kwa hiyo hawezi mtetea mtu anayehamasisha vurugu.

NB: Unaikumbuka kesi ya Apple na (FBI kama siyo CIA) walivyowagomea kutoa password simu ya mtu aliyekamatwa kwa uharifu?

Nimegundua hujui unachokipambania, endelea kujaza server za JF tu.
Huna akili
 
CNN, BBC, DW na vyombo vingine vya kimataifa vya ripoti barua ya mange kwa trump, je gen z kupata support ya trump ni ushindi kuelekea #D9?

Trump anaweza kushinikiza uchaguzi huru na wa haki kwa masaa 24 tu urudiwe. Gen z kuendelea kumuita trump huku mamlaka zake kuendelea kutathimini uhusiano na Tanzania kuna pelekea uwezekano mkubwa wa trump kuingilia kati.
CCM na Samia waondolewe madarakani haraka wanatuharibia Taifa letu.1
 
CNN, BBC, DW na vyombo vingine vya kimataifa vya ripoti barua ya mange kwa trump, je gen z kupata support ya trump ni ushindi kuelekea #D9?

Trump anaweza kushinikiza uchaguzi huru na wa haki kwa masaa 24 tu urudiwe. Gen z kuendelea kumuita trump huku mamlaka zake kuendelea kutathimini uhusiano na Tanzania kuna pelekea uwezekano mkubwa wa trump kuingilia kati.
Yetu macho na masikio,ila uzuri ni kuwa waliokuwa hawasikii sasa wanasikia na waliokuwa hawaoni sasa wanaona.Mungu yupo na uzuri ni kuwa hambagui yeyote.Na anajidhihirisha kuwa yeye ni wa wote.
 
Unapofanya jambo lako jitahidi kuepuka au punguza utegemezi ili ufanikiwe.

Uhuru hautoki nje bali ndini.

Acha kulegea kijana.
 
CNN, BBC, DW na vyombo vingine vya kimataifa vya ripoti barua ya mange kwa trump, je gen z kupata support ya trump ni ushindi kuelekea #D9?

Trump anaweza kushinikiza uchaguzi huru na wa haki kwa masaa 24 tu urudiwe. Gen z kuendelea kumuita trump huku mamlaka zake kuendelea kutathimini uhusiano na Tanzania kuna pelekea uwezekano mkubwa wa trump kuingilia kati.
Fake NEWS...by Trump.
 
Back
Top Bottom