CNN: Tanzania yatoa kivutio namba 1 cha kutembelewa kwa mwaka 2020, yazishinda nchi nyingine 30

Kuna haja ya Bodi ya utalii kuongeza bidii kutangaza vivutio vingi vingine visivyofahamika sana kwa wageni na hata baadhi ya wenyeji wa nchi hii. Kivutio kama Ziwa Tanganyika, lina uwezo wa kushindana na mlima Kilimanjaro kwa fursa za utalii wa majini kama ilivyo kwenye kupanda mlima. Ziwa Malawi liko kwenye orodha ya vivutio maarufu katika bara la Afrika, na limetajwa tujiulize kwa nini ziwa Tanganyika au Victoria hayakutajwa!, Nadhani tunahitaji kufanya kampeni zaidi ya kuvitangaza vivutio vyote!.
 
Safi sana... Inapendeza...

Utasikia hii yote ni kwa juhudu za awamu hii...

Wakati migration za wanyama zinafanyika kila mwaka, tuwepo au tusiwepo...



Cc: mahondaw
 

Hujuelewi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…