The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,967
- 4,267
Hapa duniani jamani tunapita tu....
Mtu aliye kiongozi katika nafasi ya u - Rais au nyingine yoyote serikalini unawezaje kuwa na mali zote hizi wakati muda wako mwingi, akili na mawazo ni kuwatumikia wananchi..?
Umezipata wapi mali hizi kama si kuiba na kufisadi nchi huku watu unaowaongoza 85% wakiwa hawana hata uhakika wa kuweka chochote mezani wale..?
Sasa hayupo madarakani tena na obvious watamuua kwa kumnyonga.....
Na yote haya aliyoyachuma kwa wizi na kudhulimu uhai wa wapinzani wake kama magari, fedha, majumba na mali zingine hatazikwa nazo kaburini lakini zinarudi zilikotoka...
Mwingulu Nchemba na Samia Suluhu Hassan na wenzenu jifunzeni kwa hili na tengenezeni mambo yenu kabla hayajaja kwenu na watoto wenu...