CNN wafanya interview na Diamond Platinumz

CNN wafanya interview na Diamond Platinumz

Mara English, mara uongo, Mara ujinga Duh hapa bongo tuna haters wengi, giza haliwezi kuondoa Giza, no inspiration pekee inayotoa Giza, chuki haitoi chuki ni mapenzi pekee yanayotoa chuki, jamaa alikuwa nothing Ila sasa ni something ,
 
Wamekaaaaaaaaaaaa

oyoooooo

TEAM DIAMOND PLATNUMZ FOEVAAAAAAA
 
Hii mijitu kwa uongo sijui itaacha lini, CNN hawajafunga safar kuja kumuhoj diamond, hiyo imetokea na wasanii waliohojiwa ni pamoja na Lady jay dee, Black rhino, Nick wa 2 na huy Mondy wenu, sasa nyie hapo mmeona dili sana.

Ehehehee!Joto hilo!
 
Nyie mmeshaacha uongo?? Ili tuige mfano kwenu nakumbuka mlituongopea kibakuli amefanya colabo na neyo yeye kama yeye mbali na project ya coke studio.
 
He can't necessarily speak in English if he is not that good.....eerrr....not fluent in Queen's language.He can speak in his mother tongue language and interpreted into English by the interpreters.

Mwache aongee hata kama ni brocken, practise always make it better
 
Kumbe!sasa mbona fans wake wako super excited hivi?

Kama nyie mlifurahia collabo za UWONGO za kibakuli na chriss brown na neyo kuna ubaya gani sisi tukifurahia intervew ya dangote na CNN ambayo ni ya KWELI??
 
Kama nyie mlifurahia collabo za UWONGO za kibakuli na chriss brown na neyo kuna ubaya gani sisi tukifurahia intervew ya dangote na CNN ambayo ni ya KWELI??

Dangote hakufanya interview na CNN, labda CCN.
Anaitwa Nassib Abdul.Dangote hayupo tz.
 
Mara English, mara uongo, Mara ujinga Duh hapa bongo tuna haters wengi, giza haliwezi kuondoa Giza, no inspiration pekee inayotoa Giza, chuki haitoi chuki ni mapenzi pekee yanayotoa chuki, jamaa alikuwa nothing Ila sasa ni something ,
Hii inatokana na wengi wetu tumeshajikatia tamaa kwamba hatuwezi na haiwezekana (na hii ndio sifa kuu, wewe fuatilia tu yaani mtu anaweza akafanya kitu utasikia atakuwa amekulia nje ya nchi huyo haiwezekani kufanya jambo kama hilo)
 
Ila watu wana nyota zao.Hv sasa diamond ana mziki gani wa maana zaidi ya midundo creative zero kabisa.

Pamoja nafurahia mafanikio yake nathani kuna wanamziki kama kina barnabas na wengin ambao wako really talentes lakni hawajukubalika.

Nyota ya mtu ni hatari
 
Tatizo sio Diamond, tatizo ni wanaoleta habari zake maana yeye kama yeye hakuna sehemu aliposema wametoka USA wakaja mahususi kwa ajili ya kumuhoji diamond tu na wala hakuna sehemu aliposema kwamba kahojiwa yeye peke yake.
Ila tofauti ya Diamond na wasanii wengine kila anachofanya kinachihusiana na kazi yake lazima akipe promo na hilo ndilo linamfanya azidi kupaa kimataifa kuliko wenzake ambao wanaficha ficha shughuli zao
 
Ila watu wana nyota zao.Hv sasa diamond ana mziki gani wa maana zaidi ya midundo creative zero kabisa.

Pamoja nafurahia mafanikio yake nathani kuna wanamziki kama kina barnabas na wengin ambao wako really talentes lakni hawajukubalika.

Nyota ya mtu ni hatari
Sio kwenye mziki tu hata kwenye mambo mengine mfano kuwa wa kwanza darasani haimaanishi ndio kuwin maisha zaidi ya wengine, lipumba ni profesa lakini hajawahi faulu kwenye siasa anapigwa bao na akina dada fllani.
Unajua mtu akiwa anajua sana mziki anakuwa ana melody complicated na mashairi magumu nyimbo zake zinakuwa complicated na walio wengi wanapenda vitu rahisi.
 
Ila watu wana nyota zao.Hv sasa diamond ana mziki gani wa maana zaidi ya midundo creative zero kabisa.

Pamoja nafurahia mafanikio yake nathani kuna wanamziki kama kina barnabas na wengin ambao wako really talentes lakni hawajukubalika.

Nyota ya mtu ni hatari

Hapa sasa ndio ninagundua kuwa sijui mziki mzuri unafananaje, ukiniambia nikutajie nyimbo nzuri SITAKUTAJIA WA BARNABAZ HATA MMOJA, UKINIULIZA WHY, mbali na wataalam wa mziki kudai nyimbo zake zimepangiliwa sijui vina, sijui key sijui sauti ikafanyaje,lakini (KWANGU MIMI)nyimbo zake hazina mvuto, hazichezeki, hazina melody tamu, hazitofautiani, najua barnaba kapikwa THT so no doupt jamaa anaimba kiproffesional lakini its very sad nyimbo zake hazinihamasishi hata kidogo, nyimbo zake naziona kama za kusikiliza tuu.
 
CNN WALIKUJA KUMTEMBELEA MRISHO MPOTO… sasa hayo ya DIAMOMD… labda kama mpoto kamuombea kwa CNN, SI UNAJUA WATZ kwa kujikombakomba… .😀😀😀
 
Kama nyie mlifurahia collabo za UWONGO za kibakuli na chriss brown na neyo kuna ubaya gani sisi tukifurahia intervew ya dangote na CNN ambayo ni ya KWELI??

Msinihusishe kabisaaa ktk huo upuuzi wenu wa sijui team nini....sina kabisa muda huo wala hakuna ninayemfagilia kati ya Kiba na Diamond. In short,sina kawaida ya kushinda mitandaoni kusifia mafanikio ya wanaume wenzangu....you called the wrong number.... Sorry man!
 
Back
Top Bottom