Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Hii mijitu kwa uongo sijui itaacha lini, CNN hawajafunga safar kuja kumuhoj diamond, hiyo imetokea na wasanii waliohojiwa ni pamoja na Lady jay dee, Black rhino, Nick wa 2 na huy Mondy wenu, sasa nyie hapo mmeona dili sana.
Wamekaaaaaaaaaaaa
oyoooooo
TEAM DIAMOND PLATNUMZ FOEVAAAAAAA
Uo ni ujinga mimi nipo cnn tz hakuna kitu kama icho
Kumbe!sasa mbona fans wake wako super excited hivi?
Hii mijitu kwa uongo sijui itaacha lini, CNN hawajafunga safar kuja kumuhoj diamond, hiyo imetokea na wasanii waliohojiwa ni pamoja na Lady jay dee, Black rhino, Nick wa 2 na huy Mondy wenu, sasa nyie hapo mmeona dili sana.
He can't necessarily speak in English if he is not that good.....eerrr....not fluent in Queen's language.He can speak in his mother tongue language and interpreted into English by the interpreters.
Kumbe!sasa mbona fans wake wako super excited hivi?
Kama nyie mlifurahia collabo za UWONGO za kibakuli na chriss brown na neyo kuna ubaya gani sisi tukifurahia intervew ya dangote na CNN ambayo ni ya KWELI??
Dangote hakufanya interview na CNN, labda CCN.
Anaitwa Nassib Abdul.Dangote hayupo tz.[/QUOTE
Dangote si jina tu best,hapo kwa CCN na CNN nime 😷😷😷 manake CCN ni kituo kipya kwangu
Hii inatokana na wengi wetu tumeshajikatia tamaa kwamba hatuwezi na haiwezekana (na hii ndio sifa kuu, wewe fuatilia tu yaani mtu anaweza akafanya kitu utasikia atakuwa amekulia nje ya nchi huyo haiwezekani kufanya jambo kama hilo)Mara English, mara uongo, Mara ujinga Duh hapa bongo tuna haters wengi, giza haliwezi kuondoa Giza, no inspiration pekee inayotoa Giza, chuki haitoi chuki ni mapenzi pekee yanayotoa chuki, jamaa alikuwa nothing Ila sasa ni something ,
Sio kwenye mziki tu hata kwenye mambo mengine mfano kuwa wa kwanza darasani haimaanishi ndio kuwin maisha zaidi ya wengine, lipumba ni profesa lakini hajawahi faulu kwenye siasa anapigwa bao na akina dada fllani.Ila watu wana nyota zao.Hv sasa diamond ana mziki gani wa maana zaidi ya midundo creative zero kabisa.
Pamoja nafurahia mafanikio yake nathani kuna wanamziki kama kina barnabas na wengin ambao wako really talentes lakni hawajukubalika.
Nyota ya mtu ni hatari
Ila watu wana nyota zao.Hv sasa diamond ana mziki gani wa maana zaidi ya midundo creative zero kabisa.