CNN yapigwa marufuku. Maria na Mange watakuja juu?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa CNN, MSNBC na Politico hazitaruhusiwa kuingia White House, katika kile kinachoonekana kuwa hatua mpya ya mzozo wake wa muda mrefu na vyombo vya habari.
Mange na maria watakuja juu kupinga?
 
Daah ...hivi hivi
 
Mazafaka Trump alizaliwa America kimamkosa. Alipaswa kuzaliwa Kizimkazi au Yaoundé!
 
Back
Top Bottom