Utakua hujanielewa, mara ya kwanza nakuja Bongo hayo madafu yenu yalikua 20Tsh to 1Kshs, leo hii mnachezea kwenye 23.8Tsh
Kuna mradi nilipoteza kwa ajili ya hizo hela zenu, nilimpa mteja quotation kwa Tshs (maana alisisitiza Tshs) lakini humo kuna vifaa nilitegemea kuagiza kutoka nje, hivyo nitakutumia bei ya hivyo vifaa kwenye exchange rate ya dollar ya wakati huo, mteja akachelewesha maamuzi, kuja kuibuka eti yuko tayari tufanye, nikakuta madafu yamepigwa vita na dollar balaa, yaani kiasi kwamba ikanibidi niongeze bei kwenye quotation, mteja akapiga chini mradi.