CNN's Richard Quest to tour Kenya

CNN's Richard Quest to tour Kenya

hahahaha...as always speaking nonsense...watalii wenu watapitia papa hapa nairobi upende usipende..waganda, wanyarwanda, wasomali na watz watatumia kq...na ukiumwa sana meza wembe ufe😀😀

Awww i made you cry.....pole

Huyu Mkenya mwenzenu ana tupa picha kile mnacho kiwaza hivi sasa.
Joke to all kenyans.jpeg


Kama hawakupita mwaka jana na mwaka juzi, usitegemee kipya. KQ hasn't reinvented the wheel here.
 
Utakua hujanielewa, mara ya kwanza nakuja Bongo hayo madafu yenu yalikua 20Tsh to 1Kshs, leo hii mnachezea kwenye 23.8Tsh

Kuna mradi nilipoteza kwa ajili ya hizo hela zenu, nilimpa mteja quotation kwa Tshs (maana alisisitiza Tshs) lakini humo kuna vifaa nilitegemea kuagiza kutoka nje, hivyo nitakutumia bei ya hivyo vifaa kwenye exchange rate ya dollar ya wakati huo, mteja akachelewesha maamuzi, kuja kuibuka eti yuko tayari tufanye, nikakuta madafu yamepigwa vita na dollar balaa, yaani kiasi kwamba ikanibidi niongeze bei kwenye quotation, mteja akapiga chini mradi.

Nadhani hata wewe unashidwa kutofautisha kati ya thamani ya hela kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine na gharama na maisha katika nchi husika. Ngoja nilipe darasa...

Vitu vikipanda bei Kenya au kushuka hakuchangiwi na thamani ya pesa kati ya nchi hizi mbili, inachangia na mfumuko wa bei (inflation) wa nchi unayotaka kutumia pesa yako. Now, kama ulikubaliana na mteja Tanzania akulipe Tshs 2,000,000 ili upate Kshs460,000 lakini kwa bahati mbaya Kshs 460,000 haitoshi hata kununua mboga, hiyo lawama hauwezi kwenda kwa Tanzania.

BTW Tshs20 mpakaTshs23.8 kwa miaka mingapi? maana hiyo ni sawa na 0.038% . Inflation ya kenya iko juu zaidi ya Tanzania.
 
Looking for their dreamliner meanwhile Kqs two dreamliner are on their way to london and south africa respectively,mitungi zao mbili ndio ziko raondi
20181024_094910.jpg
 
Back
Top Bottom