Coach Abdihamid Moallin karibu kwenye timu ya wananchi

ngara23 napata wasiwasi Gamond ataweza kufanya kazi na kocha Moulin? Anakuja kufanya kazi gani tofauti na Gamond na Mousa Ndaw?
 
Gamondi?

Mumeshaanza kuonyeshana dharau.
 
Hapa mimi sijaelewa lengo la kuwa na makocha watatu ni lipi? Je wataweza kuwa na umoja, kushauriana na kusikilizana?
 
5imba mna wenge
5 nyingi na zinawauma
Ujinga wa yanga ni pale mnaposhabikia kumfunga yanga goli tano kama vile nyie hamjawahi kufungwa tano sifuri na simba. Tena kibaya zaidi nipale wanaposema eti mavi yazamani hayanuki yani wanasahau kama nawao waliwahi kupigwa zaidibya hizo goli
 
Tulia uandike vizuri unaharaka gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…