Coal Confirmed in Kenya

Coal Confirmed in Kenya

kwani tatizo liko wapi? Tanzania si tunayo coal nyingi sana ya kutupa ambayo tunaweza kuchimba kwa miaka zaidi ya hamsini? kampuni ya Australia kule Mbinga si imeshaanza kuchimba na wanategemea kuingiza umeme Tanesco more than 150megawatts? wilaya ya mbinga yote imejaa coal, wilaya ya Ludewa yote imejaa coal na chuma/iron all over our country is minerals minerals...so majirani zetu wakipata si tufurahie, pamoja na kwamba hawatakuja wapate zaidi ya kile tulichonacho sisi watz....tatizo wakenya walikuwa hawana madini kabisa,....sasa wamepata wanaongeaaaaa, MASIKINI ASIPOKUWA NA KITU HUNYAMAZA, AKIPATA MATTAKO HULIA PWAAA, MBUUUUUUUUU.
 
..mimi naomba Kenya wapate mafuta,coal, ana rasilimali nyingine.

..hiyo itapunguza mchecheto wao wa kutaka kuhamia Tanzania, na kuhamishia matatizo yao ya ardhi huku kwetu.
 
Well about Moi, when we talk/discuss about leadership it does not only have to stand on a single trait as a definition mode of the leader in question… Several traits and attributes? YES! Be it they are negative via an Autocratic Leader OR be it Positive via a Democratic Leader. For Moi IMHO it was kind of easy…. That groundwork of being a good leader in doctrines of Peace where indirectly handed to him by Kenyatta (Take note Kenyata was considered as one of the forces the Country’s independence; thus an “inevitable” respect from the majority regardless the origin of the ethnic group of one – and it is in my belief Moi was Kenyatta’s fav).

Placing weight on your last Paragraph…. I agree with you (thou feeling really painful in the process of agreement! Lol) That Kenya is going places in terms of the right path to a reliable and stable democracy compared to Tanzania…. In what ever way it will turn out; I acquaint with you one thing… I bet it is going to be better set to use (the new found resources) for wananchi wa Kenya hawachekei ujinga. Well walaji hawatakosa BUT what matters is that the work will be done. And that is justified by the portrayal of efforts of most of the Leaders in the Kenyan Government. The issue Kenya has to stop overlooking is that they are in strong tied groups of ethnicity….. A catastrophic entity to harmony and development of a nation.

I like your views on kenya, they are well thought and brought to light. What keeps kenya moving politically is ethnicity (not favourable we need to change). On kenyatta, His was doctrines was not inclined on peace since the country was enjoying independence from imperialism and his style of leadership was in the nature of a "Strongman". After Kenyatta's death, Moi was the VP then and found out that he was embroiled in a leadership that was of GEMA stronghold. So I guess this is where his "doctrine" was born. "Fuata nyayo" I guess was a way to appease the Njonjos and the Karumes.

IMHO, countries in EA have plenty to learn from each other politically, economically you name it. It is only some within debates and discussion groups that drag themselves into something simmilar to sibling rivalry. And the other thing is that our political movements are dominated by this two big tribes. So it might take a while before others dominate the political scene
 
kwani tatizo liko wapi? Tanzania si tunayo coal nyingi sana ya kutupa ambayo tunaweza kuchimba kwa miaka zaidi ya hamsini? kampuni ya Australia kule Mbinga si imeshaanza kuchimba na wanategemea kuingiza umeme Tanesco more than 150megawatts? wilaya ya mbinga yote imejaa coal, wilaya ya Ludewa yote imejaa coal na chuma/iron all over our country is minerals minerals...so majirani zetu wakipata si tufurahie, pamoja na kwamba hawatakuja wapate zaidi ya kile tulichonacho sisi watz....tatizo wakenya walikuwa hawana madini kabisa,....sasa wamepata wanaongeaaaaa, MASIKINI ASIPOKUWA NA KITU HUNYAMAZA, AKIPATA MATTAKO HULIA PWAAA, MBUUUUUUUUU.

Hute hili sio tatizo... Habari kama hii ni lazima itatangazwa.... Well kuji paisha ikiwa moja ya sababu, ila Kikubwa ni kuarifu taifa na mataifa mbali mbali, ikiwa ni strategy ya kujitangaza na kuarifu kua jamani jiandaeni tunakua na hii bidhaa hata sie. Kwamba wako kubwatisha makalio kwa kutoa hii habari? C'mon Man!
 
I like your views on kenya, they are well thought and brought to light. What keeps kenya moving politically is ethnicity (not favourable we need to change). On kenyatta, His was doctrines was not inclined on peace since the country was enjoying independence from imperialism and his style of leadership was in the nature of a "Strongman". After Kenyatta's death, Moi was the VP then and found out that he was embroiled in a leadership that was of GEMA stronghold. So I guess this is where his "doctrine" was born. "Fuata nyayo" I guess was a way to appease the Njonjos and the Karumes.

IMHO, countries in EA have plenty to learn from each other politically, economically you name it. It is only some within debates and discussion groups that drag themselves into something simmilar to sibling rivalry. And the other thing is that our political movements are dominated by this two big tribes. So it might take a while before others dominate the political scene

When I read tu! "I like your views on Kenya.... " I was like is he Kenyan.... Reading on I got my answer directly.... Of coz you like my views they are in your favour...lol. But you deserve it for it is the fact. For a Leader ambae alichukua Uongozi kupitia kama kurithishwa bila kutarajia; Moi did try katika Uongozi wake as much as alikua/ana mikashifa yale ya Ufisadi akiwa linked na akina George Saittoti, India Kald et al.

Nimependa sana the second paragraph.... Yaani hivi kweli JK amewahi hata siku moja kua curious na kutaka kufunga safari ya Kirafiki kwa lets say Kagame na kumuuliza how he does it? Or hata viongozi wote wakaamua kua na a friendly meeting and talk about governance na changes in various developmental Institutions; Ni ngumu kujua kwa kweli.... On the issue ya hizo kabila zinazotawala Kenya, yaani alafu the way Wakenya mlivo na madharau dhidi ya your fellow countrymen just because yupo katika an insignificant tribe.... It so inhuman. Hapo ni fellow Kenyan, sijui wasomali sikuhizi mwawaangalia kwa jicho gani....
 
Napenda post yako kwa sababu umegonga ndipo kuhusu JK kujaribu kufunga safari kwa Kagame ili apate kikombe cha uji. Mambo mengine ya kujadili the way foward for africa zinaweza wasilishwa katika mikutano za EA ambazo hatuoni zikifanyika. Nilivyosema hapo awali, ni tunastahili kubadilisha msimamo wetu wa kisiasa iliyojaa misingi ya kikabila. Unaeza tuwie radhi pengine historia imetuelekeza pabaya. unapozungumza kuhusu wasomali, kuna wengi wameendelea sana na wanafanya biashara na wamefungua makampuni kubwa jijini. Je! haya yote yawezafanyika hapo Tanzania? Nadhani munafaa mutembee mujue picha halisi jinsi kenya na watu walivyo.

Hata ukiuliza msomalia atakwambia kenya ni pazuri pa kuishi. Na Kesi hizi za dharau ni kama a drop in the ocean. Hii sio picha kamili ya mkenya kama inavyochapishwa magazetini. Lazima ukabaliane nami walio wanyonge kawaida huita mambo megine maonevu
 
Thanks for the acknowledgement Mzalendo... However katika uliogusia hapa mimi I am more interested and in favour of a Leader ambae anaangalia inchi na watu wake kwanza. I believe and Perceive that the way forward for Africa as a Continent and a whole is each Leader from respective Nations to put Maximum effort, dedication and Will Power in the betterment of the Nation and the People.... Kwamba kila Leader anahakikisha all is in harmony, sababu hakuna anaejua wanachi wake kama raisi mwenyewe wa nchi sio neighboring Leaders.... That Mugabe awe able to look up to the problems of the nation and sort them out at his best na to the interests of the majority, that Kabila aweze ku maintain his wealth anayopoteza mno hadi kupelekea scandals za blood diamonds iweze leta maendeleo na kuwafikia wanachi, that Al-bashiri aweze kaa na watu wa South Sudan waweke mambo sawa kwa kuzingatia kua ni namna gani both sides zaweza benefit kwenye ardhi inayo leta migogoro na maisha yaendelee... na that applies to the whole nations.... Ndio maana hizi International Organisations huchukua kitambo kuweka their manifestations in action tokana na kwamba kila Kiongozi anakua ameacha kwake kumechina.....

Well hio second para, what is a little dharau from the owners if you can get Land, food, peace and harmony? Hao watu hawana option bana. Somalia is no Land to live....
 
Napenda your concept of a good leader. Sasa kwa mfano ni nani Afrika ana mfano huo wako kama kiongozi kwa sasa? Sijaona na usijaribu kunifafanulia eti JK ana hizi qualities, not in Africa, ngumu. Kuna aina ya uongozi ulio bora, lakini wazo lako litakua batili ukijaribu kusema kuna kiongozi kwa sasa ana huo mfano. Katika uongozi kuna mengi na kama tujuavyo, wanadamu watashindwa kutimiza na itakuwa uwongo kusema kuna kiongozi ataleta mafanikio katika kila sekta ya nchi. Ndio maana na prefer kukwamilia demokrasia. Kiongozi akiwa anashughulikia watu wake lazima aelezee maswala ya umaskini ambayo hatujaona yeyote akiweza kuumaliza. Na ndio maana nasema hata aje nani na qualifications sawa na mugabe, itakuwa vigumu kufurahisha kila mtu.

Sasa nina swali, kiongozi awaangalie wananchi kivipi? Ikiwa ni maskini, uwape viposho vya chakula halafu kesho vipi? kuempower wananchii ni bora kwa sababu, watajitegemea wenyewe na kuondolea mzigo kwa nchi na viongozi. Hiyo ndio msingi bora kwanza
 
In blue; Kwa sasa a Leader ambae ana ni impress Upande wa Afrika ni Paul Kagame wa Ruanda, Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia na the Great Man thou retired Nelson Mandela. I believe you know kazi za hawa watu, which in other words would be saying the type of Leaders I admire. BTW JK is a good man at heart but a weak Leader, He has done a lot for this country which at the moment may seem as damage and disastrous; ila naamini history huko mbeleni itaona mchango wake katika kukuza Democracy katika nchi ya Tanzania.

In Red; It does not matter kua the leader in question kashindwa kufurahisha kila mtu (kwanza itakua vigumu else huyo leader ni mnafiki!). What matters ni kua huyo Leader anaweza dhibiti nafasi yake kiasi kwamba vitu kama ufisadi wa nje nje unakua hamna, matatizo kama mikataba feki inkua hamna, Kwamba aweze kua Mzalendo.... Awe na uchungu na nchi na wananchi.... na juu ya hapo awe na qualities of a Great leader who is not afraid of making major decisions hasa in relation to the Betterment of the Nation. Hapo Mzalendo believe me you..... Leader akiwa hivo ni rahisi hata kufanya kazi; kwamba hata kama ana delegate, atahakikisha kuna jopo za kweli za quality insurance kuhakikisha all inaenda ipasavo na to it's best.

In Beige; Mzalendo kuwaangalia wananchi sio tu kua wahakikisha umewafanyia kila kitu.... HAIWEZEKANI! Ila kuhakikisha unawawekea wananchi wako mazingira ya kuweza weka wepesi katika maisha yao kwa kungalia yale ambayo yawagusa moja kwa moja. For instance katika nchi nyingi za Kiafrika tegemezi kubwa la majority katika taifa ni Kilimo.... Bahati nzuri nchi zote hizi zina rules, guidelines na principles ambazo in most cases ziko impressive on paper; BUT Unfortunatley hazitelekezwi ipasavo... Hakuna kusema kua Serkali ipo that interested katika soko la mazao, ama quality ya end product, ama Processing machines, ama incentives za kutosha in the sector na sio za ubabaishaji kama ilivo.... That mind you is just one of the ways ya kuweza boresha na kugusa wananchi directly....
 
TZ kuna coal,natural gas,hydro etc lakini umeme hakuna na uliopo ni very expensive & rationing,hivi tatizo ni nini? and what does that mean wakati wanaopata umeme ni less than 10% ya wananchi? nchi bila umeme maendeleo ni ndoto ndugu wananchi hata kama mkiwa na akili kiasi gani na wachapa kazi 100% umaskini wa kutupwa utaendelea tuu bila umeme...hope kenyans will use it kwa maendeleo ya wote.
 
@Ashdi Kwanza, hapo kwenye red that is like scripture when it comes to what entails African leadearship principles. Mostly on paper tumeweza craft very nice guidelines lakini siasa za Afrika haziruhusu kutekelezwa kwa sera nzuri, we have still miles to move. Kila nchi ina siasa zake na utakuta sio wote wapigao siasa wana uwiano katika fikra na njia za utelekelezaji sera. Sasa ndio tuseme au to conclude hatuwezi tu tegemea documents tu kama custodian ya wananchi maana kutakuja kila aina ya kiongozi na mpango wake ambao unaweza wafurahisha wengi au kuudhi wengine.

pili, hayo majopo ya quality control, usidanganywe nyingi huwa compromised kuwafadhili kifisadi potential business partners, halafu ukiingiza maswala ya great leaders Nitakubaliana na mandela the first "son of Africa" true pan africanist. Suala la mikataba Feki sio jambo geni katika safu za uongozi barani Afrika, na tutendelea kuona kuvunjwa zaidi kwa mikataba. Uzalishaji wa bidhaa au incentives ni kiungo muhimu kuchangia katika kukua kwa sekta ya ununuzi na uuzaji, kupitia uwekezaji ulio makini na siyo ya ubabaishaji.

Tatu, tukitazamia kurate viongozi based on high economoc growth pia ni vyema lakini hatutakuwa tuna tumia the right scale, Kile kinasaidia kagame na rwanda ni kwamba demographics zao zinathibitika rahisi, lakini tukianza kwanza kwa mfano kuangalia TZ na KE na demographics zake kwanza ni changamoto, tena tumegawanya kikabila na hii ndio changamoto kubwa. Kabila moja, lazima iwe inahisi kuwa inakuwa shortchanged, hivyo, kiongozi hata aje na dhamira nzuri baado anazo hizi changamoto kuzipitia.

TZ kuna coal,natural gas,hydro etc lakini umeme hakuna na uliopo ni very expensive & rationing,hivi tatizo ni nini? and what does that mean wakati wanaopata umeme ni less than 10% ya wananchi? nchi bila umeme maendeleo ni ndoto ndugu wananchi hata kama mkiwa na akili kiasi gani na wachapa kazi 100% umaskini wa kutupwa utaendelea tuu bila umeme...hope kenyans will use it kwa maendeleo ya wote.

@Koba, Tanzania ikipitia TANESCO na zile rasilimali zote Za coal ,gesi na kawi ya thermal wameshindwa kuongezea umeme kwenye national grid, nao Ethiopia wameendelea mpaka wana ya ziada ya kuuzia Kenya mwishoni mwa mwaka (Kama megawati 400), ukilinganisha na hali kali ya ukame nchini humo. Kawaida nilidhani uongozi unaweza suluisha mapungufu haya lakini kama nionavyo ni vigumu kutekelezwa. KE naye changamoto ni zile zile za ukame lakini uzuri ni hatuna kupotea kwa umeme ovyo ovyo huku rasilimali za kutoza umeme zikiwa geothermal na hydroelectric system ambao mara nyini husumbuliwa na inconsistent weather patterns. Tunafaa tu borrow a leaf from Ethopia. Ikiwa TZ kuna wachapa kazi kama ulivyosema (surely I doubt not) hakufai kua na lolote la kuwazuia kuwa 100 p.c productive. Uongozi unafaa ushughulikia haya masuala.
 
Bora mjikomboe na umasikini wa kutupwa, mzinduke sasa, mmiliki uchumi wenu msitegemee vya uncle Tom.
 
Back
Top Bottom