Coalition of the willing kagame and museveni msaidieni mwenzenu dhidi ya magaidi

Unafiki mkubwa unaonyeshwa na kagame na museveni kwa kushindwa kumsaidia mwenzao dhidi ya al shaabab nafikiri ni coalition ya kinafiki isiyo ya future bali ililenga kupambana na tanzania i think kenyata amepata cha kujifunza

Acha utani ndugu, Hawa ng'ombe muungano wao ni wakimaendeleo zaidi lakini kwenye shida watakimbiana. Nadhani Kenya ni nyepesi kuiomba TZ msaada kwenye shida kuliko Uganda na Rwanda kwasababu wanajua japo na upumbuvu na dharau zao bado sisi ni jirani bora kuliko hao wawili.
 
Atakayepatikana na hatia atabeba mzigo tu, awe nani wala nani, Wakenya wanasubiri tena kwa hamu sana kieleweke. Huwa hatuchelewi, hatukawii na kawaida hatuogopi inapofikia maamuzi.

maamuzi yapi ya kuchinjana mpaka makanisani kama mlivyofanya kwenye uchaguzi wa kibaki? ..watanzania tunasubiri tu kuitwa kuja kuwasuluhisha as always.
 

ungeweka na asilimia ya misaada (foreign aid) kwenye hiyo bajeti ya hiyo miaka mitano ingekuwa poa sana. Vinginevyo kunishawishi kuwa kuna utalii wa kuongeza GDP by 8% itakuwa ngumu. kwa vivutio gani? yale mafuvu ya wahutu gisozi? cc: @JustDoItNow
 
Acha kuongopea watu wewe! 1. Uchumi wa Rwanda uliwahi kukua mpaka kufika 8%,lakini toka m23 wamesambaratishwa kule DRC,uchumi wa Rwanda umeshuka kuja 5%(.2013/2014)
2. Ni utalii gani unaochangia kukuza pato la Rwanda?. Taja jina na asilimia inayochangia. Ni huduma gani zinasaidia kukua uchumi wa Rwanda? Weka jina na asilimia. Kama hauna hizo data bora unyamaze tu.
 
Wakenya tokea washindwe kuwakamata Allshabab Westgate matokeo yake wakaanza kuiba simu hata siwaamini kabisa.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…