Thanks sana mkuu kwa updatesHaya Azam kaeni Kileleni hadi Jumapili.
Mwanamfalme yeye ni specialist wa kuikanda SimbaDube Inn.
Kipre Jnr Out
Uyu kaenda kustaafu ukoFeitoto amesema msimu huu anategemea kufunga
Kwenu wapi?🤣🤣Tunaomba matokeo wadau huku kwetu giza nene hatuna umeme tangu asubuhi
Azzam wanaongoza ligi, wale vichaa walinusishwa tu wapige screenshot.Tunaomba matokeo wadau huku kwetu giza nene hatuna umeme tangu asubuhi
Huyu jamaa anacheza sana rafu, hata kechi ya juzi na Dodoma alitakiwa apewe nyekundu, sijui TFF hawa muoni.Bajana amecheza faulu mapema sana