Coastal Union 0 - 1 Azam SC| NBC Premier League | Mkwakwani Stadium | 06.10.2023

Coastal Union 0 - 1 Azam SC| NBC Premier League | Mkwakwani Stadium | 06.10.2023

Kipindi cha Pili kimeanza sasa
 
Game On

Dakika ya 47'

Coastal Union 0-1 Azam
 
Azam kuna namna wanaanza kupoteza muda
 
Kipa anapigwa Yellow anapoteza muda
 
Azam leo,wanakaa kileleni mwa ligi,hongera yao.
 
Game On....

Dakika ya 50'

Coastal Union 0-1 Azam
 
Game On

Dakika ya 54'

Coastal Union 0-1 Azam
 
Feitoto kama vile anaomba Sub.
Amepata Changamoto
 
Game On

Dakika ya 57'

Coastal Union 0-1 Azam
 
Game On

Dakika ya 60'

Coastal Union 0-1 Azam
 
Hajibu anafanyiwa Sub.
Anaonyesha hajayakubali mabadiliko
 
Hakuna juhudi zozote wanayofanya Coastal Union kusawazisha
 
Back
Top Bottom