Coastal Union 0 - 1 Azam SC| NBC Premier League | Mkwakwani Stadium | 06.10.2023

Coastal Union 0 - 1 Azam SC| NBC Premier League | Mkwakwani Stadium | 06.10.2023

Hajibu anaupiga
 
Mpira unaendelea...
DK bado ni bila bila
 
Lusajo amesimama vizuri kizuia mashambulizi
 
Ibrahim Hajibu anaipiga faulu lakini kipa anasimama vizuri
 
Game On

Dakika ya 08'

Coastal Union 0-0 Azam
 
Game On

Dakika ya 10'

Coastal Union 0-0 Azam

Mpira unarushwa sasa kuelekea Coastal
 
Game On

Dakika ya 13'

Coastal Union 0-0 Azam
 
Coastal wanaonekana wanalitaka game kuliko Azam an
 
Wagosi wanatakabkucheza na refa hapa
 
Faulu nyingine hii, amefanyiwa fujo Hajibu
 
Game On

Dakika ya 16'

Coastal Union 0-0 Azam
 
Coastal wanacheza vizuri mpaka sasa.

Wasichoke tu!!
 
Back
Top Bottom