Coastal Union 0 - 1 Azam SC| NBC Premier League | Mkwakwani Stadium | 06.10.2023

Coastal Union 0 - 1 Azam SC| NBC Premier League | Mkwakwani Stadium | 06.10.2023

Game On

Dakika ya 19'

Coastal Union 0-0 Azam
 
Kipa wa Azam ajiangalie
 
Hajibu anapiga kona ina Out swing
 
Hajibu analeta uchoyo hapa.
 
Game On

Dakika ya 22'

Coastal Union 0-0 Azam
 
Feitoto anachezewa faulu na Semfuko.

Dakika ya 22.
 
Sidibe anapiga free kick na inatoka nje
 
Game On

Dakika ya 37'

Coastal Union 0-0 Azam
 
Kwa wanavyocheza wanaweza kutoka zero zero
 
Coastal wanakosa goli hapa
 
Back
Top Bottom