Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Ndio forward yetu hiyo..Kibu D
Hatoshi ndani ya jezi ya Simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio forward yetu hiyo..Kibu D
Hatoshi ndani ya jezi ya Simba
Simba Nguvu mojaaaaPiga hao mikia
Tungoje tu mpaka mwishoWhat is happening? dakika ya ngapi...inamaana Simba wanatoa draw hii mechi?
Sasa refa anasubiri nini kufanya kama alivyofanya mwenzie kwenye Afcon kwenye mechi ya Mali vs Tunis.85:18
Unataka kusemaje?What is happening? dakika ya ngapi...inamaana Simba wanatoa draw hii mechi?
zimebaki dakika ngapi kwani? hatuoni updates hapa jukwaani!!Tungoje tu mpaka mwisho
Apulize tu kipyenga mengine tutayajulia Hospitali. 🤣🤣🤣Sasa refa anasubiri nini kufanya kama alivyofanya mwenzie kwenye Afcon kwenye mechi ya Mali vs Tunis.
Rehani aliyoweka ndo inamsumbuaUnataka kusemaje?
Simba anatakiwa kushinda hii mechi, ili kustablize maneno huku mtaani...Unataka kusemaje?
Niambie Kichwa Kichafu vipi hao mdebwedo makolo?. Dakika ya ngapi now?[emoji102]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aseme tu swaumu ilikuwa kali mno jua kali akaona kizungu zungu.Apulize tu kipyenga mengine tutayajulia Hospitali. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mana mwenzake walisema alikuwa na homa sijui Malaria. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ha ha ha ha ha.....Rehani aliyoweka ndo inamsumbua
Hawatashinda MzeeSimba anatakiwa kushinda hii mechi, ili kustablize maneno huku mtaani...
Nakazia Mkuu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ni dakika ya ngapi sasa kwa mnaotazama huo mpira.Aseme tu swaumu ilikuwa kali mno jua kali akaona kizungu zungu.
Hii mechi ni sare mkuu...zimebaki dakika ngapi kwani? hatuoni updates hapa jukwaani!!