Kwa kweeeli.Aseme tu swaumu ilikuwa kali mno jua kali akaona kizungu zungu.
Usije ukakimbia hapa...subiri dakika ya mwisho na ya nyongeza, ndio uzungumzeeHawatashinda Mzee
Acha Na Mimi Nikazie.Nakazia Mkuu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Iwe wazi iwe upenyoLilikuwa goli la wazi kabisa
Simba anashinda...hiyo ni NatureHii mechi ni sare mkuu...
Afadhali aisee tumeongeza goli ..Usije ukakimbia hapa...subiri dakika ya mwisho na ya nyongeza, ndio uzungumzee
NibebeeeeeeDadeq!
Nadhani hakuna maswaliPow pow mkuu
Nani kakosa, mbona humu hamleti taarifa kamili yaani inakuwa kama mtu anasimuliana na mwenzie anayeangalia nae mpira. Humu wengine ndio tunapategemea kupata update ya matukio wakuuLilikuwa goli la wazi kabisa
Panua domo topolo basi 🤣🤣🤣🤣Nibebeeeeee