ππΌππΌππΌKuna goli la ushindi hapa, msikonde
bebwa na weweNibebeeeeee
Sio akina KibuHaya ndio magoli matamu, kagere kacheza dakika 6 katia kamba
Mbona sijasikia. Unasemaje mtani mrembo. Weka matokea FT basiiii
Ilipigwa kona na kapombe, wawa akapiga header mlinzi wa coastal akaokoa ikagonga mwamba ilivyorudi ikapigwa tena kisigino ikaingia ndani ikavuka mstari halafu mlinzi akaurudisha nje tenaNani kakosa, mbona humu hamleti taarifa kamili yaani inakuwa kama mtu anasimuliana na mwenzie anayeangalia nae mpira. Humu wengine ndio tunapategemea kupata update ya matukio wakuu
Hakika mkuu πππππ¦π¦π¦π¦π¦π¦Kazi imeisha! Wachezaji wana fatigue na International games. Wamejitahidi sana
Kuna kikundi cha wapuuzi wachache tu yaaaniKwahiyo mlitarajia Simba Sc ifungwe?? Katika kipindi hiki cha ligi sio muda wa kutarajia Simba Sc ipoteze.
Watu wa mpira tunalielewa vizuri Sana hili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tumechomoa. Hata hivyo hizi mbwembwe za ushindi Mkwakwani ni kukusindikiza tu. Kimahesabu Uto bingwa labda miujiza ya Mayele kujifunga kila mechi itokee [emoji1787]
Line kagoma Ila refa kakubaliKazi imeisha! Wachezaji wana fatigue na International games. Wamejitahidi sana
Mzee wenu wa miaka 46 kwa kuibia ibia hajamboHaya ndio magoli matamu, kagere kacheza dakika 6 katia kamba