Coastal Union 1-2 Simba SC| Uwanja Wa Mkwakwani - Tanga| Ligi Kuu ya NBC

Najiuliza mbali ya uwanja, Wachezaji wa Simba ni fatique au nini?

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Hapana sio uwanja ni simba wenyewe tu kulingana na hiki kipindi cha mfungo wamekuwa wanatusumbua sana

Wametubadilishia ratiba ya dakika za magoli ambayo tumezoea kuona wanafunga
 
Reactions: BRN
Makolo wenzangu tushukuru kadi nyekundu imetubeba
 
🤣🤣🤣🤣 Tumechomoa. Hata hivyo hizi mbwembwe za ushindi Mkwakwani ni kukusindikiza tu. Kimahesabu Uto bingwa labda miujiza ya Mayele kujifunga kila mechi itokee 🤣
Hahahaaa. Afadhali unalijua hilo rafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…