Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Hapana sio uwanja ni simba wenyewe tu kulingana na hiki kipindi cha mfungo wamekuwa wanatusumbua sanaNajiuliza mbali ya uwanja, Wachezaji wa Simba ni fatique au nini?
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Wametubadilishia ratiba ya dakika za magoli ambayo tumezoea kuona wanafunga