Coastal Union 1-2 Simba SC| Uwanja Wa Mkwakwani - Tanga| Ligi Kuu ya NBC

Naomba kuuliza wakuu

Hii mechi ya Leo ilikuwa haina kadi nyekundu?
 
Ilipigwa kona na kapombe, wawa akapiga header mlinzi wa coastal akaokoa ikagonga mwamba ilivyorudi ikapigwa tena kisigino ikaingia ndani ikavuka mstari halafu mlinzi akaurudisha nje tena

Refa akaamua kuwa sio goli na kuweka goal kick
🤣🤣🤣🤣
Hawa marefa wetu AFCON na Word Cup final watazichezeshea kwenye screen za TV pekee. Sasa hapo Goalkick imetoka wapi? Ni labda goal au mpira ungeendelea kuchezwa kama mpira haukuvuka mstari wa goli
 
Bhweheheheheheh! Hahahahaaaaaaa, hihihihiiiiiiiiiiiii.........mbala, mbele, mbili, .........., angalia sasa utopolo anaotaka kusema[emoji23], haya basis namalizia, mbulu.
 
Simba bila red card au penalty hawanaga ushindi NBC league
 
Hihihihihihiiiiiiiii[emoji23] naona jinsi ulivyoumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…