Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 afadhalia mmepata matokeo la sivyo usingetokea hapa. 🤣🤣Mbona sijasikia. Unasemaje mtani mrembo. Weka matokea FT basiiii
Lazm nienjoy nimepata shida sanaaa hapaHaya enjoy sasa mnyama mwenzangu
Tusubiri uchambuzi wa wana utopolo kuhusu hii mechiHaya enjoy sasa mnyama mwenzangu
Vijana wanadhurumiwa Sana
Watu wapunguze blah blah walete maono
Huyo ni terminator, killer! Kifaru cha Kinyarwanda!
🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁😍😍😍😍😍😍😍😍Kuna goli la ushindi hapa, msikonde
Nibebeeeeee
We utakuwa unamsema mayele kiaina
🤣🤣🤣🤣Ilipigwa kona na kapombe, wawa akapiga header mlinzi wa coastal akaokoa ikagonga mwamba ilivyorudi ikapigwa tena kisigino ikaingia ndani ikavuka mstari halafu mlinzi akaurudisha nje tena
Refa akaamua kuwa sio goli na kuweka goal kick
Multiple Id'sGENTAMYCINE hapa sijakuelewa aanzishe uzi mwingine afu wewe umetoa maelezo ya uzi 🤣🤣
View attachment 2179410
Ilikuwepo , unataka kuifuta?Naomba kuuliza wakuu
Hii mechi ya Leo ilikuwa haina kadi nyekundu?
Bhweheheheheheh! Hahahahaaaaaaa, hihihihiiiiiiiiiiiii.........mbala, mbele, mbili, .........., angalia sasa utopolo anaotaka kusema[emoji23], haya basis namalizia, mbulu.Nakazia Mkuu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Simba bila red card au penalty hawanaga ushindi NBC leagueView attachment 2179312
Full Time: Simba inapata ushindi na kufikisha pointi 40 katika Ligi Kuu Bara.
Dakika ya 90, Meddie Kagere anaifungia Simba bao la pili kwa shuti kali.
Simba wanaongeza presha zikiwa zimesalia dakika saba.
Coastal baada ya kuwapa presha Simba wanafanikiwa kusawazisha bao.
Kipindi cha pili kinaendelea
Timu zote zinashambuliana kwa zamu, Coastal hawajataka kubaki nyuma kulinda, wanapanda na kuwapa upinani Simba.
Kipindi cha Pili kimeanza matokeo bado ni 1-0.
Kipindi cha kwanza kimekamilika, Simba wanaongoza bao 1-0 lililofungwa na Bernard Morrison baada ya beki wa Coastal Union kujichanganya.
Mchezo ni mguu na timu zote zinashambuliana kwa zamu, ukuta wa Coastal unakuwa mgumu na Simba wanashindwa kuupita.
===================
Katika NBC Premier League, leo Ikiwa ni Karume Day, kuna mechi baina ya Simba Sc dhidi ya Coastal Union FC.
Simba wanataka alama tatu ili waendelee kujikita kwenye Nafasi ya Pili mwa msimamo wakati Coastal Union nao wanazitaka alama tatu ili wapande Ili wasiteremke Ligi Kuu.
Mechi hi itapigwa katika dimba la Uwanja Wa Mkwakwani, Tanga kuanzia saa 10:00 Jioni
Je, ni Mnyama ama Wagosi wakaya nani kuondoka na alama tatu?
Wagosi Wakaya Kunani Pale.
Scars
View attachment 2179085
Hihihihihihiiiiiiiii[emoji23] naona jinsi ulivyoumia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]