Hamna mkuu, naona siku hizi ni kama amejirekebishaTatizo Kilekichwa Hakieleweki
Idadi ya wachezaji wakigeni wanadai itakuwa kubwa. Itazuia kuongeza wengine eti mkuukwa sababu kimataifa uhakika, wawaache wote tu
Morrison akitulia ni bonge la player.Kwa kweli japokuwa nasikia Miqueson yupo nchini lakini Morison wasimuache
Kama lilivyo Inonga likiacha utoto[emoji28]Morrison Morrison akitulia ni bonge la player.
Analeseni ya mirembe,ni ngumu kutuliaMorrison akitulia ni bonge la player.
Labda Mlikuwa naye HukoAnaleseni ya mirembe,ni ngumu kutulia
Mimi ndiyo mdhamini wake pale Mahakamani nilipoenda kumchukulia leseniLabda Mlikuwa naye Huko
Anatafuta kupiga hela, mkataba wake unaisha miez ijayo ndo maana anaonekana anaupiga mwingi saana na kama katulia ivHamna mkuu, naona siku hizi ni kama amejirekebisha
Hilo kosa angelifanya beki wa Simba ungesema beki mbovu,kwa sababu ni beki wa Coastal lazima useme hivyoBeki......au kabet[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kondeboy jana kacheza game ya Ahly, kafunga goli na kawa man of the match....huyo aliyepo nchini itakuwa ni sanamu yake labda.Kwa kweli japokuwa nasikia Miqueson yupo nchini lakini Morison wasimuache
Wao wapike tu samaki mpira hauwafaiAkina Osie wenzangu, piga hao Mikia Fc ili wapoteane kabisa kwenye ligi 😬😬😬