Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
🤔🤔 Unafatilia mpira kweli wewe??Na baada ya hapo mtatinga robo fainal ya CAF .
Kwani tar 30 makolo mnacheza CAF au NBC pl??
Labda nikujuze tu coz nahisi hujui kitu kuhusu tz football.
Ni hivi tar 17 na 24 ndo mtacheza na kutolewa CAF, na tarh 30 ndo mtapigwa na mtani wenu na kuhalalisha ubingwa wao.