Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
π€π€ Unafatilia mpira kweli wewe??Na baada ya hapo mtatinga robo fainal ya CAF .
Alisikika Mlevi Mmoja Akisemaπ€π€ Unafatilia mpira kweli wewe??
Kwani tar 30 makolo mnacheza CAF au NBC pl??
Labda nikujuze tu coz nahisi hujui kitu kuhusu tz football.
Ni hivi tar 17 na 24 ndo mtacheza na kutolewa CAF, na tarh 30 ndo mtapigwa na mtani wenu na kuhalalisha ubingwa wao.
Uto bnaa π€£π€£π€£π€π€ Unafatilia mpira kweli wewe??
Kwani tar 30 makolo mnacheza CAF au NBC pl??
Labda nikujuze tu coz nahisi hujui kitu kuhusu tz football.
Ni hivi tar 17 na 24 ndo mtacheza na kutolewa CAF, na tarh 30 ndo mtapigwa na mtani wenu na kuhalalisha ubingwa wao.
KabisaAchani tupige mazoezi bana
Hao wawili wote ni wa kuachwa au kutolewa kwa mkopo msimu ujaoMhilu anaingia kumbadili kibu
Timu gani sasa
Kibu AbakiHao wawili wote ni wa kuachwa au kutolewa kwa mkopo msimu ujao