Coastal Union 1-2 Simba SC| Uwanja Wa Mkwakwani - Tanga| Ligi Kuu ya NBC

Coastal Union 1-2 Simba SC| Uwanja Wa Mkwakwani - Tanga| Ligi Kuu ya NBC

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
277908753_368124405232452_64976875043592558_n.jpg

Full Time: Simba inapata ushindi na kufikisha pointi 40 katika Ligi Kuu Bara.

Dakika ya 90, Meddie Kagere anaifungia Simba bao la pili kwa shuti kali.

Simba wanaongeza presha zikiwa zimesalia dakika saba.

Coastal baada ya kuwapa presha Simba wanafanikiwa kusawazisha bao.

Kipindi cha pili kinaendelea

Timu zote zinashambuliana kwa zamu, Coastal hawajataka kubaki nyuma kulinda, wanapanda na kuwapa upinani Simba.

Kipindi cha Pili kimeanza matokeo bado ni 1-0.

Kipindi cha kwanza kimekamilika, Simba wanaongoza bao 1-0 lililofungwa na Bernard Morrison baada ya beki wa Coastal Union kujichanganya.

Mchezo ni mguu na timu zote zinashambuliana kwa zamu, ukuta wa Coastal unakuwa mgumu na Simba wanashindwa kuupita.

===================

Katika NBC Premier League, leo Ikiwa ni Karume Day, kuna mechi baina ya Simba Sc dhidi ya Coastal Union FC.

Simba wanataka alama tatu ili waendelee kujikita kwenye Nafasi ya Pili mwa msimamo wakati Coastal Union nao wanazitaka alama tatu ili wapande Ili wasiteremke Ligi Kuu.

Mechi hi itapigwa katika dimba la Uwanja Wa Mkwakwani, Tanga kuanzia saa 10:00 Jioni

Je, ni Mnyama ama Wagosi wakaya nani kuondoka na alama tatu?

Wagosi Wakaya Kunani Pale.

Scars
View attachment 2179085
 
Katika NBC Premier League, leo Ikiwa ni Karume Day, Kuna mechi baina ya Simba Sc dhidi ya Coastal Union FC.
.
Simba wanataka alama tatu ili waendelee kujikita kwenye Nafasi ya Pili mwa msimamo wakati Coastal Union nao wanazitaka alama tatu ili wapande Ili wasiteremke Ligi Kuu.
.
Mechi hi itapigwa katika dimba la Uwanja Wa Mkwakwani, Tanga kuanzia saa 10:00 Jioni
.
Je, ni Mnyama ama Wagosi wakaya nani kuondoka na alama tatu?
.
Wagosi Wakaya Kunani Pale.
.
Scars
Mnyama mawindoni,
Hakuna kuachia hiz points 3, udugu kando leo
 
Coastal anakula goli si chini ya nne!!

Mnyama kashasimamisha sharub meno yako nje anaungurua unatarajia nn tofaut na kumkula bwana kitoweo anayejipendekeza mbele yake!?
 
Sio fair kabisa, king'amuzi kimoja kumuonyesha Kibu na Mayele
 
Back
Top Bottom