Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
- Thread starter
- #41
[emoji881] Kunani Tena Tanga AiseeehMikia hawana hata nguvu za kukomenti,wanasubilia goal.........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji881] Kunani Tena Tanga AiseeehMikia hawana hata nguvu za kukomenti,wanasubilia goal.........
Mngekuwa na akili hizo, mngekuwa na akili ya kujiongeza na siyo hiviShadeeya kama unavyojua wale jamaa wanaoogopeka barani Africa wapo uwanja wa mkwakwani kuwavutisha wagosi PUMZI YA MOTO.
SIMBA NGUVU MOJA
0-0[emoji881] Kunani Tena Tanga Aiseeeh
Mbna Mpaka Sasa Hamjafunga SasaNa ninyi wakifunga goli mnafunga midomo na kusoma threads za mapenzi. Mnajifanyaga kama huu uzi hamuuoni
Kwani mpira ni dakika ngapi? Umeisha? Au kuna muda maalum wa kufunga /kufungwa?Mbna Mpaka Sasa Hamjafunga Sasa
Duu. Mbona hatariKuna msng kavaa diaper jukwaani
Mtu mzima ila akili ndio hunaMayeleeeee goooooooooooool[emoji16]
Nyie si huwa mnamsifu anapiga ndege? 🤣🤣WAWA yeye kila mpira ni kupiga ndefu tu.
Subiri ligi iishe utajua kama wanapata buku au hawapatiSimba ina Points 10 wamelamba Milioni 812 lakini kuna kikundi kina points 48 hawapati hata buku
Mkifika hatua waliyo fika simba kwa miaka mitatu mfululizo unitag kwenye uzi huu nihame nchi. Au unasemea chenji za NBC?Subiri ligi iishe utajua kama wanapata buku au hawapati
Wenzenu wamekunja kabla mashindano hayajaisha kumbukaSubiri ligi iishe utajua kama wanapata buku au hawapati