Coastal Union 1-2 Simba SC| Uwanja Wa Mkwakwani - Tanga| Ligi Kuu ya NBC

Coastal Union 1-2 Simba SC| Uwanja Wa Mkwakwani - Tanga| Ligi Kuu ya NBC

Subirini tuje tuwahenyeshe wazee wenu kina saido, bangala na aucho tulicheza na nyinyi game ya kwanza tukiwa na majeruhi wengi na bila muunganiko wa kikosi subirini muone simba anavyocheza kijihadi match muhimu.
Muunganiko ndio nini?
 
Subirini tuje tuwahenyeshe wazee wenu kina Saido, bangala na Aucho, tulicheza na nyinyi game ya kwanza tukiwa na majeruhi wengi na bila muunganiko wa kikosi subirini muone Simba anavyocheza kijihadi match muhimu.
😀😀😀 Hao ndo wazee.
Basi sawa kina kagele, bocco na onyango ni vijana eeeh.??
Ww subiri hiyo siku utalia na kusaga meno
 
[emoji3][emoji3][emoji3] Hao ndo wazee.
Basi sawa kina kagele, bocco na onyango ni vijana eeeh.??
Ww subiri hiyo siku utalia na kusaga meno
Haya tutakutana hapa saa moja usiku tarehe 30,nitakukumbusha nilichokuambia
 
Back
Top Bottom