MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Kwa mwenendo wa Ligi ambayo bado mbichi, endapo coastal union wakiongeza juhudi hakika wanaweza kushika nafasi ya tatu.KMC nao sio wabaya, Nafasi ya nne pia iko wazi kwao.Wapambane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
InawezekanaKwamba nguruwe washushwe tena?😆
NdiyoDuuuh
game ya Azam Vs Simba ni lini..??
Alhamisi next weekgame ya Azam Vs Simba ni lini..??
Makolo kazi wanayo... Hiyo game ndio itaamua nani akae nafasi ya 2Alhamisi next week
Ila kwa akili za nguruwe inawezekanaInawezekana
🤣🤣View attachment 2977721
Kwa mwenendo wa Ligi ambayo bado mbichi, endapo coastal union wakiongeza juhudi hakika wanaweza kushika nafasi ya tatu.KMC nao sio wabaya, Nafasi ya nne pia iko wazi kwao.Wapambane
Wapambane sana nafasi ya nne inachangamotoHizi ni dharau sasa kwa Thimba thipoti ulabu.
Thimba thipoti ulabuHizi ni dharau sasa kwa Thimba thipoti ulabu.
Nafasi ya tatu siyo rahisi, kuna Coastal union hapo!Hivi mbali na Azam, Simba ana fixture nyingine ngumu ipi? Naiona nafasi ya 3 kweli kwa Simba.