Coastal Union FC Walipotezwa Maboya Na Simba SC Kwenye Fainali ya ASFC.

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Ushauri Wa Simba SC Waiponza Coast Union Kwenye Fainali ya ASFC.


Ifahamike kuwa kwa ubora walionao Coast Union FC ndani ya uwanja walikuwa nanuwezo wa kupata matokeo safi dhidi ya Mabingwa wa kihistoria wa LigiKUU Tanzania Bara.

Eneo pekee walipokosea ni pale walipokubali kuchukua ushauri wa matumizi ya Ushirikina kutoka upande wa Kamati maalumu kutoka klabuni Simba.

Siku zote matumizi ya uchawi na ushirikina yanaathiri timu kisaikolojia katika mchezo wa soka.

Yanawaaminisha wachezaji kuwa hata kama wasipotoa jitihada za kutosha uwanjani basi upo msahada wa kishirikina ambao utatusaidia tu.

Ndio maana matumizi ya ushirikina kwa klabu ya simba yamekuwa hayawagikishi mbali. Kila mara wanagota robo fainali. Hij inamaanisha kufika mbele zaidi ya hapo inakupasa utoe jitihada ya damu na jasho kitu ambacho hakipo katika DNA ya Simba SC.

Coast Union wamepotezwa shimoni wakidhani wanasaidiwa.

Coast Union hawakupoteza fainali kwa sababu ya uwezo wao uwanjani bali kwasababu ya kukubali ushauri wa matumizi ya ushirikina ambao umechukua nafasi ya commitment ya wachezaji.

Sote tunatambua kuwa kimpira Coast Union ndio the second best team this season akitanguliwa tu na Yanga SC.

Source: MwanaSpoti


 
Subiri kwanza source ya Mwanaspoti ni kuhusu ndumba au picha ya huyo golikipa ?
 
Una hangaika sana kama vile kuku anataka kutaga. Lakini soon utatulia tu kama misimu iliyopita.
 
Una hangaika sana kama vile kuku anataka kutaga. Lakini soon utatulia tu kama misimu iliyopita.

Haya ndio madhara ya kulala mchana utafikiri mtoto wa darasa la saba.

Unachokiota ndotoni kinachekesha.
 
Tangu Caf waitambue Simba kama klabu namba Moja Kwa Matumizi ya tunguri barani Afrika basi wanajiona wakuuubwa.
 
Kama mwanaspoti ndio wameandika huu utopolo nao HAWANA AKILI.

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Coastal walikosea kwa yule kipa, tangu akiwa anavheza mchangani, Mbise hajawai kuwa angusha wananchi!!!!!!!
 
Kwa hyo yanga hawarogi ndo maana yule kocha alisema nyie ni nyani manara akasema kikwete na babaake ndo wenye akili wengine wote mirembe haiwezekani uwe na akili timamu ukalale airport uwapokeee ili waifunge simba.
Hivi Manara hajaufuta tu huo usemi?
Yeye mwenyewe kapewa kazi na hao aliowaita hamnazo 🤣

Pesa huvunja milima kwa kweli.
 
Sio kweli watu wote wanajua Coastal sikj iz ni maswaiba wa utopolo
 
Wahitimu wa chuo cha kuzalisha wajinga hapo Yanga mnatujazia server kwa mashudu yenu
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…