demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Ushauri Wa Simba SC Waiponza Coast Union Kwenye Fainali ya ASFC.
Ifahamike kuwa kwa ubora walionao Coast Union FC ndani ya uwanja walikuwa nanuwezo wa kupata matokeo safi dhidi ya Mabingwa wa kihistoria wa LigiKUU Tanzania Bara.
Eneo pekee walipokosea ni pale walipokubali kuchukua ushauri wa matumizi ya Ushirikina kutoka upande wa Kamati maalumu kutoka klabuni Simba.
Siku zote matumizi ya uchawi na ushirikina yanaathiri timu kisaikolojia katika mchezo wa soka.
Yanawaaminisha wachezaji kuwa hata kama wasipotoa jitihada za kutosha uwanjani basi upo msahada wa kishirikina ambao utatusaidia tu.
Ndio maana matumizi ya ushirikina kwa klabu ya simba yamekuwa hayawagikishi mbali. Kila mara wanagota robo fainali. Hij inamaanisha kufika mbele zaidi ya hapo inakupasa utoe jitihada ya damu na jasho kitu ambacho hakipo katika DNA ya Simba SC.
Coast Union wamepotezwa shimoni wakidhani wanasaidiwa.
Coast Union hawakupoteza fainali kwa sababu ya uwezo wao uwanjani bali kwasababu ya kukubali ushauri wa matumizi ya ushirikina ambao umechukua nafasi ya commitment ya wachezaji.
Sote tunatambua kuwa kimpira Coast Union ndio the second best team this season akitanguliwa tu na Yanga SC.
Source: MwanaSpoti