Coastal Union ilikuwa hii ya akina Mwameja

Coastal Union ilikuwa hii ya akina Mwameja

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Kwa wale mlioanza kuingia kwenye wendawazimu wa mpira Leo huku mapovu yakiwatoka wenzenu wakiweka mada humu nawakumbusha Coastal Union ilikuwa moja ya timu hatari kabisa hapa bongo, Leo mnaotukana humu mitandaoni mjiulize kimoyomoyo kama mliwahi kumuona huyu kocha wa coastal Union, Juma Mgunda.
Coastal ilikuwa golini Mohamed Mwameja au marehemu Hamis Makene, kulia Joseph Lazaro, huku kushoto akicheza Douglas Mhani, nne Yassin Abuu Napili sentahafu marehemu Idrisa Ngulungu, sita Ally Maumba, winga Kassim Mwajeki, nane Kassa Mussa, tisa Juma Mgunda, kumi Hussein Mwakuruzo na kushoto ni Razack Yussuf Careca.
Hili chama hili, nyie mnaoshinda kutukana humu hamjui tulikotoka,.mnaishia kutukana tu, pumbavu kabisa.
 
Halafu Kassa Mussa ilikuwa lazima ulitamke Kasamusa
 
Mkuu mtoa mada kunywa balimi za hela yote Mimi nipo wewe utalipa
 
Naona walileta na kombe la CAF hongera zao.
sifa nyingi mfanikio O
 
Back
Top Bottom