Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Mara nyingi mpira ni mchezo wa wazi Sana Kama timu yako ni mbovu basi ni mbovu tu usitafute kichaka cha kufichia madhaifu yako, leo tena Coastal Union imelambishwa mchanga na namungo goli 3 kwa 1, walipofungwa na yanga wakasema wamehujumiwa sasa na leo wamehujumiwa?
Wameshindwa kurekebisha timu yao mapungufu yaliyopo wamebaki kuendekeza imani za kipuuzi matokeo yake wamegongeshwa tena leo!
Wameshindwa kurekebisha timu yao mapungufu yaliyopo wamebaki kuendekeza imani za kipuuzi matokeo yake wamegongeshwa tena leo!