Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
- Thread starter
-
- #41
Sikushangai mfuasi wa Kubenea, lissu acha nikuvumilie tuUmetekwa? viherehere Vya kuanzisha thread wakati litimu lako ninakalia libolo...[emoji53]
Hahaha, sawa mfuasi wa Wasira..Sikushangai mfuasi wa Kubenea, lissu acha nikuvumilie tu
Nilimsikia, alitutunana sana watu wa Tanga. Kala maneno yakeHii safi sana Jana msemaji wao aliongea mbovu sana kwa wanatanga eti tanga ni karata, bao na mapenzi mpira hakuna kitu...
vijana TA safi sana...Nilimsikia, alitutunana sana watu wa Tanga. Kala maneno yake