Coastal Union vs YANGA

Coastal Union vs YANGA

Hii safi sana Jana msemaji wao aliongea mbovu sana kwa wanatanga eti tanga ni karata, bao na mapenzi mpira hakuna kitu...
Nilimsikia, alitutunana sana watu wa Tanga. Kala maneno yake
 
Safi sana Coast Union. Lazima heshima ya Wagosi wa kaya irudi upya.
 
Dah! Safi sana coastal. Yebo vimbelembele sana tu
 
Back
Top Bottom