Coastal Union washindwa kumlipa mshahara Ali Kiba

Mjini shule mkuu, Ali kiba ni Genious

Anajua kucheza na akili za wenye Shobo na umaarufu wake
 
Kwenye historia tulisoma ilkua ikiitwa BOGUS TREATY
 
kama jambo hulijui kaa kimya.

alikiba
king kiba
mofaya

ni vitu vitatu tofauti kwenye swala la mkataba. brand tofauti
NI vitu sawa na ndiyo maana wameshindwa kumlipa alikiba, kushindwa huko kumeathiri mkataba na kusababisha Mo Faya isilipe kiasi cha milioni 40 kilichobaki ili kufidia miezi minne ambayo Kiba hakulipwa. Sasa hapo unasemaje ni vitu tofauti?
Ingekuwa tofauti Mofaya bado ingelipa hiyo milioni 40 iliyobaki
 
Mln 10 kwa mpira upi

Ova
Nadhani ilikua alipwe hizo sio kwa performance yake uwanjani bali kwa jina lake ambalo ni "Brand"

Labda swali la kujiuliza ni kua,ina maana wakati wanaingia nae mkataba hawakujua kua hawatokua na uwezo wa kumlipa huo mshahara? au walijua ila kuna game tu walikua wanalicheza hapa?"
 
Ah ni vituko kweli!

Ova
 

natamani kukuelezea kuandika ndio kazi jua kunatofauti kubwa.

mfano ukiidai mofaya haimaanishi unamdai alikiba.

kampuni ya mofaya ikakopa ikashindwa kulipa alikipa hafilisiwa itafilisiwa mofaya.

ukimkopesha alikiba huwezi kwenda kuidai mofaya.
 
natamani kukuelezea kuandika ndio kazi jua kunatofauti kubwa.

mfano ukiidai mofaya haimaanishi unamdai alikiba.

kampuni ya mofaya ikakopa ikashindwa kulipa alikipa hafilisiwa itafilisiwa mofaya.

ukimkopesha alikiba huwezi kwenda kuidai mofaya.
Uko sawa kabisa lakini kwa maelezo ya mleta mada inaelekea mkataba wa Mofaya na coastal Union umekuwa affected moja kwa moja na kutolipwa mshahara alikiba.
Yani Mofaya ilibidi imalizie malipo ya awamu ya pili ya Million 40 kama mkataba unavyosema haijalishi alikiba kalipwa mshahara au hakulipwa, lakini kwa maelezo ya mleta mada mofaya haitomalizia hiyo 40 milion ili kufidia mshahara wa miezi 4 wa alikiba kitu kinachofanya mkataba wa mofaya uwe directly proportion na alikiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…