Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Kina kegere,Okwi na Haruna Nyonzima wanalipwa ngapiHapo naona mapicha picha tu.
Hivi tuwe serious kidogo, klabu ya bongo imlipe mchezaji mshahara wa 10m ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kina kegere,Okwi na Haruna Nyonzima wanalipwa ngapiHapo naona mapicha picha tu.
Hivi tuwe serious kidogo, klabu ya bongo imlipe mchezaji mshahara wa 10m ?
Hiyo ni msimu uliopita,msimu huu kagere anachukua mil 12Mmmh Simba hii Simba. Kuna jamaa kaweka chart ya mishahara mikubwa soka la bongo. Wa juu kabisa ni 8.7m . Msaada wa sourcr yako please
sasa huyo bosi wenu alidhani coastal ni SIMBA?
bosi wake mimi na nani?
Imefeli kivipi mkuu??Mbona vituko...yaani atoe milion 80 kwa msimu then, alipwe tena hizo hizo fedha...!sasa huo ni udhamini gani?
...halafu hicho kifaya kishafeli...
team daraja la ngapi?
hahahah aseeMbona vituko...yaani atoe milion 80 kwa msimu then, alipwe tena hizo hizo fedha...!sasa huo ni udhamini gani?
...halafu hicho kifaya kishafeli...
Mikataba ya ulaghaiKwenye historia tulisoma ilkua ikiitwa BOGUS TREATY
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mikataba ya ulaghai
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji41] [emoji115]Udhamini kwa mwaka milioni 80. Harafu mchezaji mmoja alipwe milioni 10 kwa mwezi. Yaani akombe hela yote ya udhamini kabla hata mwaka haujaisha. Ukisikia MAGAZIJUTO ndio hii sasa
Si yeye tu na ukoo wao wote....Acha kutukana wenzako bila sababu, kakukosea nini? anakuzidi kwa mengi mpaka umaarufu.
hahahaaaSi yeye tu na ukoo wao wote....