Coastal Union washindwa kumlipa mshahara Ali Kiba




haviko sawa habari ya mleta iko general hajaingia ndani zaidi.

huo mchakato wa kuhamisha hizoo fedha unaweza ukafikiri nijambo la siku moja lakini inaweza ikawa limetumia miezi 4.

uongozi wa mofaya na uongozi wa alikiba ulikaa ukakubaliana izoo mil 40 zitahamishiwa kwenye acc ya kingkiba kutoka mofaya kwasababu ilikuwa moja ya expenses za mofaya.
 
Well mimi nilikuwa na argue kutoka na aliyeasilisha taarifa kama haiko hivyo then nafuta kauli
 
Acheni utani nyie, 10m sio mchezo mchezo.
 
Mmmh Simba hii Simba. Kuna jamaa kaweka chart ya mishahara mikubwa soka la bongo. Wa juu kabisa ni 8.7m . Msaada wa sourcr yako please
hiyo ya mwaka jana,huyo ni niyonzima ambaye sasa hivi kwanza ni mfanyakazi hewa,wame upgrade mwaka huu,embu fikiria kama chama yule si wa kumpa hata milioni 20
 
Afadhali umemaliza hii battle. Naona wa juu kabisa ni 8.7
mkuu ya mwaka jana hiyo,kina kagere hawjafika,kwanza huyo wa milioni 8.7 msimu hajacheza hata zaidi ya mechi tatu,ni mfanya kazi hewa kabisa,huyo okwi hadi nyumba this year kahamishwa kapangiwa apartment upanga sea view na milioni 10
 
Kama naona nyoto nyota vile, yaani Mfadhili wa Timu bado analipwa mshahara tena mkubwa kiasi hicho !!!
 
Katoa mil 40, kinywaji chenyewe hakijafanya mauzo yoyote...

#kaziNaBata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…