Coastal Union washindwa kumlipa mshahara Ali Kiba

Mbona vituko...yaani atoe milion 80 kwa msimu then, alipwe tena hizo hizo fedha...!sasa huo ni udhamini gani?
...halafu hicho kifaya kishafeli...
Imefeli kivipi mkuu??
 
Udhamini kwa mwaka milioni 80. Harafu mchezaji mmoja alipwe milioni 10 kwa mwezi. Yaani akombe hela yote ya udhamini kabla hata mwaka haujaisha. Ukisikia MAGAZIJUTO ndio hii sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji41] [emoji115]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…