Coastal Union yamsajili Ali Kiba kwa mkataba wa mwaka mmoja

Coastal Union yamsajili Ali Kiba kwa mkataba wa mwaka mmoja

Hili povu si la kitoto ila anyway mbona wiz khalifa anajiandaaa kujiunga na MMA? Au na yeye mziki umemshinda?
(Ni swali tu mkuu staki povu)


Acha masihara wewe, Wiz Khalifa aingie kwenye cage ya MMA hajui kufa?
 
Kiba nae kazingua kwa kweli. .unaingia kwenye mpira na uzee huu.
Kifupi kaishiwa nyendo kwa kweli.
 
Back
Top Bottom