mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,922
- 3,618
umeishaje wakati Msuva anakimbiza mbaya?ndio maana nikasema mpira umeisha siku hizi
Hili povu si la kitoto ila anyway mbona wiz khalifa anajiandaaa kujiunga na MMA? Au na yeye mziki umemshinda?
(Ni swali tu mkuu staki povu)
Humjui Ali Kiba kwenye soka.mpira kweli umeisha yaani ali kiba wa kucheza ligi kuu? enzi zangu niko dimbani hata kushika viatu vyangu asingepata nafasi
Ndio nini sasa?usijili wa karne
Duuuuuuu!!!!yaap mi ni nteze real wa kamsamba mbozi songwe
Wachezaji zamani nyie ovyo kabisakijana muogope MUNGU
na wewe ni wa hukohuko kamsamba mkuuDuuuuuuu!!!!
Kamsamba mbozi. Umenikumbusha 2009 nilikuwa pale miezi 6 na akina Sapali