Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Klabu ya Coastal Union imemtambulisha mshambuliaji mpya raia wa Mali, Amara Bagayoko.
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 26 amesajiliwa kama mchezaji huru mara ya mwisho akiichezea Asko Kara msimu wa 2023/24 katika Ligi Kuu ya Togo akifunga mabao 19.
Tayari nyota huyo amewasili nchini na yupo kambini akiisubiri mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya KMC, utakaopigwa kesho Desemba 29 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha.