GE2025 Coaster Jimmy: Kauli yangu ya kumuajiri Rais Samia si utani, atashughulikia Diplomasia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Makini, Coaster Jimmy Kibonde amezidi kusisitiza kuwa endapo atashinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, atamwacha Rais wa sasa, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ndani ya serikali yake kwa kumpa nafasi maalumu ya kushughulikia diplomasia.

Ameyasema hayo akizungumza na mwanahabari Wilberforce Ngoto @wilberforcengoto8218 wa kipindi cha Maswali na Majibu kinachorushwa na Jambo TV.

"Nitampatia ajira Mama Samia ambaye ndiye Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na asiwe na shaka, serikali yangu nitakapoiunda, yeye atakuwa ni mmoja wa washauri wangu wakubwa sana, ameeleza na kuongeza,

"Chama cha Makini kimejipanga vizuri, kwa mikakati yake na kimfumo na wananchi wanakikubali, wanakiamini na wananchi ndio waliotusukuma".

🤣🤣🤣 eti nina uhakika watanzania watanichagua.
 
Hata hivyo hiyo kazi anaiweza
 
Diplomasia kabisa!!🤣🤣
 
Sanaa za Maonesho, hakikisha kila muigizaji anafit uhusika according na script.

Huu upumbavu unaoendelea ni aibu sana
 
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Makini, Coaster Jimmy Kibonde amezidi kusisitiza kuwa endapo atashinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, atamwacha Rais wa sasa, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ndani ya serikali yake kwa kumpa nafasi maalumu ya kushughulikia diplomasia.

Ameyasema hayo akizungumza na mwanahabari Wilberforce Ngoto @wilberforcengoto8218 wa kipindi cha Maswali na Majibu kinachorushwa na Jambo TV.

"Nitampatia ajira Mama Samia ambaye ndiye Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na asiwe na shaka, serikali yangu nitakapoiunda, yeye atakuwa ni mmoja wa washauri wangu wakubwa sana, ameeleza na kuongeza,

"Chama cha Makini kimejipanga vizuri, kwa mikakati yake na kimfumo na wananchi wanakikubali, wanakiamini na wananchi ndio waliotusukuma".

Siasa za bongo ni za hovyo sana!!
 
Hawa watu wanatokea wapi jameni anoijua historia yake atwambie
 
Back
Top Bottom