GE2025 Coaster Kibonde atembelea familia ya Mwalimu Nyerere, aweka shada kaburini

GE2025 Coaster Kibonde atembelea familia ya Mwalimu Nyerere, aweka shada kaburini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Makini, Coaster Kibonde ametembelea nyumbani kwa Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere na kuzuru kaburi lake.

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Makini, Coaster Kibonde ametembelea nyumbani kwa Baba wa Taifa.jpg
Akiwa nyumbani hapo Kibonde ametoa shukrani kwa familia ya Nyerere yake kwa mapokezi huku akisema njia pekee ya kumuenzi mwalimu Nyerere ni kudumisha amani katika kipindi hiki Taifa linapoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu.

Kibonde anatarajiwa kufanya mkutano wa hadhara kesho Oktoba 13,2025 katika Soko la kwa Saa Nane, Manispaa ya Musoma Mkoani Mara.

Soma

1760335999617.png
 
Back
Top Bottom