Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Makini, Coaster Kibonde ametembelea nyumbani kwa Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere na kuzuru kaburi lake.
Akiwa nyumbani hapo Kibonde ametoa shukrani kwa familia ya Nyerere yake kwa mapokezi huku akisema njia pekee ya kumuenzi mwalimu Nyerere ni kudumisha amani katika kipindi hiki Taifa linapoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu.
Kibonde anatarajiwa kufanya mkutano wa hadhara kesho Oktoba 13,2025 katika Soko la kwa Saa Nane, Manispaa ya Musoma Mkoani Mara.
Soma