C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,074
- 3,743
Naomba leo nimuwahi heaven on desert
Baada ya tukio la moto la leo kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta, JKIA jijini Nairobi, Kenya, lililosababisha uwanja huo kufungwa kwa muda na kumfanya Diamond Platnumz aliyetua alfajiri ya leo akitokea Afrika Kusini kukwamwa, Cocacola imemchukulia ndege binafsi itakayomleta Dar es Salaam
Hizi ndio bei za kukodi ndege za Kenya
turbo props 1,200-1,800 $ per hr
light jets $1,900 -$2,650 per hr
mid size jets $2,700-3,400 per hr
Large Jets $3,5600-$7,800 prer hr
KILICHONIPELEKEA NIPOST HII
MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MMPENI
Dogo anajitahidi sana kuwaonesha wasanii wa Tz kujijua thamani yao wasanii wengi sasa hivi wa Bongo Flava ambao wengine ni wakongwe
hawajijui thamani yao na ni funzo kubwa la kujifunza
kwanini DIAMOND?
kwanini isiwe JUMA NATURE, DUDUBAYA, KALA PINA, MEZ B, DARKMASTER, FANANI, INSPEKTA HAROUN, JAY MO, JAFARRAI na wasanii wengi wakongwe wa zamani ambao mziki walianza tokea KARNE ILIYOPITA wana than decade kwenye industry hii ya Bongo Flava
ukijaribu kufuatilia maoni yao ni kuwa wao kama wao hawajishughulishi kufikia mafanikio ya dogo diamond na wao watasema kuwa
TUNAMSUBIRI ASHUKE, MR NICE YUKO WAPI?
anyway ni mwanzo wa wasanii hawa wa sasa hivi wawe na NJAA ya Mafanikio na wajue thamani yao wajipandishe thamani yao sio tu wanakalia
kuimba kwa ajili ya kununua magari ya milioni nane na kujiona wameridhikaa

Last edited by a moderator: