Cocacola wamtumia Diamond “private jet” imrushe Dar baada ya kunasa Nairobi kufuatia moto JKIA

Cocacola wamtumia Diamond “private jet” imrushe Dar baada ya kunasa Nairobi kufuatia moto JKIA

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,074
Reaction score
3,743
Naomba leo nimuwahi heaven on desert

Cocacola-diamond-240x240.jpg






Baada ya tukio la moto la leo kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta, JKIA jijini Nairobi, Kenya, lililosababisha uwanja huo kufungwa kwa muda na kumfanya Diamond Platnumz aliyetua alfajiri ya leo akitokea Afrika Kusini kukwamwa, Cocacola imemchukulia ndege binafsi itakayomleta Dar es Salaam


Hizi ndio bei za kukodi ndege za Kenya

turbo props 1,200-1,800 $ per hr
light jets $1,900 -$2,650 per hr
mid size jets $2,700-3,400 per hr
Large Jets $3,5600-$7,800 prer hr

KILICHONIPELEKEA NIPOST HII


MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MMPENI
Dogo anajitahidi sana kuwaonesha wasanii wa Tz kujijua thamani yao wasanii wengi sasa hivi wa Bongo Flava ambao wengine ni wakongwe
hawajijui thamani yao na ni funzo kubwa la kujifunza

kwanini DIAMOND?
kwanini isiwe JUMA NATURE, DUDUBAYA, KALA PINA, MEZ B, DARKMASTER, FANANI, INSPEKTA HAROUN, JAY MO, JAFARRAI na wasanii wengi wakongwe wa zamani ambao mziki walianza tokea KARNE ILIYOPITA wana than decade kwenye industry hii ya Bongo Flava


ukijaribu kufuatilia maoni yao ni kuwa wao kama wao hawajishughulishi kufikia mafanikio ya dogo diamond na wao watasema kuwa

TUNAMSUBIRI ASHUKE, MR NICE YUKO WAPI?



anyway ni mwanzo wa wasanii hawa wa sasa hivi wawe na NJAA ya Mafanikio na wajue thamani yao wajipandishe thamani yao sio tu wanakalia

kuimba kwa ajili ya kununua magari ya milioni nane na kujiona wameridhikaa
 
Last edited by a moderator:
Ana mahela lakini je hizo hela zake zinaisaidiaje jamii ya kitanzania? Sijawahi sikia hata ana project ya kusaidia watoto yatima

"Nchi ngumu hii"
 
Ana mahela lakini je hizo hela zake zinaisaidiaje jamii ya kitanzania? Sijawahi sikia hata ana project ya kusaidia watoto yatima

"Nchi ngumu hii"

Watu mmekalili kweli hili neno "WATOTO YATIMA",msifie basi kidogo then ndo umpe ushauri.Binafsi nampa hongera kwa kujaribu kuchange industry ya mziki tz,bila Diamond kuthubutu kufanya show za kiingilio kikubwa na wasanii wengine wangebakia vilevile kufanya vishow vya laki 3.Ila tokea Diamond amethubutu na wasanii wengine wameanza kufanya show za pesa ndefu walau milioni 2 hadi 5
 
Ana mahela lakini je hizo hela zake zinaisaidiaje jamii ya kitanzania? Sijawahi sikia hata ana project ya kusaidia watoto yatima

"Nchi ngumu hii"

Kuwa na hela is more subjective. Kila mtu ana hela bana.., mbonaaaa!!?
 
NI KWELI DOGO ANAJITUMA NI MBUNIFU NA ANA ILE WAZUNGU WANAYOSEMA SENSE OF HUMOUR!NDO MANA MPAKA LEO HUJASIKIA AKIMTANGAZA WEMA VIBAYA JAPO ALIMTENDA SANA TU!......HALAFU KUHUSU kusaidia ni majuzi DINNA ALIKUWA NA PROJECT YAKE YA KUSAIDIA WATITO YAATIMA ALITOA MCHANGO MNONO TU NA PIA HUWA ANASAIDIA NA MARA NYINGI HUPENDA KUWAKILISHWA...IVI MSAADA KUTOA MPAKA ITANGAZWE?WENGINE HAWAPENDI ILIMRADI MUNGU ..KAMUONA!
 
Ana mahela lakini je hizo hela zake zinaisaidiaje jamii ya kitanzania? Sijawahi sikia hata ana project ya kusaidia watoto yatima

"Nchi ngumu hii"


Watanzania bwana mtu wangu mmoja wa karibu alishawahi kuniambia mtu yeyote akisema kuwa fulani ana hela nyingi ila mbona hajawahi kusaidia watoto yatima, wewe muulize kuwa wewe binafsi ni lini ulishawahi kusaidia watoto yatima?
so swali nakuuliza wewe NI LINI ULISHAWAHI KUSAIDIA WATOTO YATIMA

vile vile mtu mwingine wangu wa karibu alishawahi niambia kuwa "ni bora mtu anayesaidia watoto yatima ambaye hajitangazi, kuliko mtu ambaye anasaidia watoto yatima na ma camera, media na ma tv

pointi hapa ni kuwa sio lazima Bakhresa atoe msaada hata wewe kwa kidogo ulichonacho unatakiwa utoe msaada na ndio unapata thawabu mara mia kuliko msaada atakaoutoa bakhresa kwani wewe umejinyima kusaidia masikini bakresa akitoa hata mifuko mia 500 hajajinyima coz ni billionaire
 
Ana mahela lakini je hizo hela zake zinaisaidiaje jamii ya kitanzania? Sijawahi sikia hata ana project ya kusaidia watoto yatima

"Nchi ngumu hii"

kwani lazima?
 
Ana mahela lakini je hizo hela zake zinaisaidiaje jamii ya kitanzania? Sijawahi sikia hata ana project ya kusaidia watoto yatima

"Nchi ngumu hii"

kwani lazima? Usiishi kwa mazoea.
 
......HALAFU KUHUSU kusaidia ni majuzi DINNA ALIKUWA NA PROJECT YAKE YA KUSAIDIA WATITO YAATIMA ALITOA MCHANGO MNONO TU NA PIA HUWA ANASAIDIA NA MARA NYINGI HUPENDA KUWAKILISHWA...IVI MSAADA KUTOA MPAKA ITANGAZWE?WENGINE HAWAPENDI ILIMRADI MUNGU ..KAMUONA!

Kwa kifupi hapendi kujitangaza. Nawashangaa baadhi ya watu wangependa wamwone kama wafanyavyo hakina Mengi, Lowassa, Nchemba!!!!!!
 
Anastahili hiyo heshima, kwa nchi zinazowajali wasanii wake Serikali ilibidi iwajibike kwa hili.!
 
Always namheshimu dayamond he started from the bottomn now on TV.

Hayo ya kusaidia yatafika tu baada ya yeye kujisaidia kwanza.
 
Wabongo bana, mtu ili aonekane anasaidia jamii ni mpaka aonekane kwenye TV na ma blog yenu.

Na ndio maana mtu ananunua miche kumi ya sabuni na ndoo moja ya mafuta na msururu wa wanahabari wanaomgharimu mara kumi ya msaada anaoenda kutoa, na mkishaona kwenye tv au kwenye mitandao mnamuona makarimuuuuuuuuu....

Kuna watu kibao ninawafahamu wanatoa kwa jamii kupita maelezo na moja ya masharti yao ni kutotangazwa.
 
Back
Top Bottom